Hapa kuna orodha ya majina ya watoto wa kike kutoka kwa Biblia na maana zao.
Majina ya wasichana kutoka katika Biblia
- Dina – Aliyehesabiwa haki
- Aholibama – Aliyeinuliwa
- Athalia – Aliyeinuliwa
- Reuma – Aliyeinuliwa
- Elizabeti – Aliyejitolea kwa Mungu
- Elisheba – Aliyejitolea kwa Mungu
- Hadasa – Amani
- Salome – Amani
- Prisila – Anayeheshimika
- Yaeli – Anayepanda
- Yudithi – Anayesifiwa
- Chloe – Anayestawi
- Hammoleketh – Anayetawala
- Rebeka – Anayevutia
- Zuleika – Angavu
- Sintike – Bahati
- Martha – Bibi
- Sara – Binti mfalme
- Loisi – Bora
- Zereshi – Dhahabu
- Mehetabeli – Faida
- Abigeli – Furaha
- Yehoadan – Furaha
- Keren-Hapuki – Mzuri
- Drusila – Hodari
- Gomeri – Kamilifu
- Bathsheba – Kiapo
- Yehosheba – Kiapo cha Mungu
- Yulia – Kijana
- Yuniya – Kijana
- Naara – Kijana wa kike
- Penina – Kito
- Asenathi – Kujitolea
- Mikali – Kujitolea
- Bithia – Kutoka kwa Mungu
- Shua – Mali
- Milka – Malkia
- Basemathi – Manukato
- Ketura – Manukato
- Aksa – Mapambo
- Zeruia – Marhamu
- Delila – Maridadi
- Lea – Maridadi
- Trifena – Maridadi
- Trifosa – Maridadi
- Abishagi – Mengi
- Merabu – Mengi
- Sera – Mengi
- Euodia – Mfurahisha
- Hefziba – Mfurahisha
- Naama – Mfurahisha
- Noadia – Mkutano
- Foibe – Mng’avu
- Bilha – Mnyenyekevu
- Yedida – Mpendwa
- Mariamu – Mpendwa
- Miriamu – Mpendwa
- Damarisi – Mpole
- Egla – Mpole
- Raheli – Mpole
- Zilpa – Mpole
- Hodesh – Mpya
- Tamara – Mtende
- Hushimu – Mtulivu
- Baara – Mwali
- Noa – Mwendo
- Persisi – Mwenye adabu
- Jemima – Mwenye amani
- Shelomiti – Mwenye amani
- Debora – Mwenye bidii
- Lidia – Mwenye kufanikiwa
- Eunike – Mwenye kushinda
- Dorka – Mwenye neema
- Yoana – Mwenye neema
- Tabitha – Mwenye neema
- Zibia – Mwenye neema
- Hagithi – Mwenye sherehe
- Yekolia – Mwenye uwezo
- Efrathi – Mzao
- Vashti – Mzuri
- Zipora – Ndege
- Ahinoamu – Neema
- Ana – Neema
- Hana – Neema
- Hogla – Ngoma
- Abihaili – Nguvu
- Esta – Nyota
- Rahabu – Pana
- Ruthu – Rafiki
- Kandake – Safi
- Safira – Safiri
- Timna – Sehemu
- Herodia – Shujaa
- Atara – Taji
- Iska – Tazama
- Tafathi – Tone
- Hawa – Uhai
- Sheera – Ukoo
- Zila – Ulinzi
- Abitali – Umande
- Hamutali – Umande
- Yerusha – Urithi
- Berenike – Ushindi
- Naomi – Utamu
- Tirsa – Utamu
- Yokebedi – Utukufu
- Pua – Utukufu
- Ada – Uzuri
- Shipra – Uzuri
- Kezia – Viungo
- Rhoda – Waridi
- Mahalathi – Wimbo
- Susana – Yungiyungi
- Me-Zahabu – Ya dhahabu
Toa Jibu